The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Kwani alifanya nini huyo kizee?Mna mlaumu bure kuna mambo mengine mtu anapenda kusamehe ila inashindikana.kwani huenda kila anapomuona chuki inampanda
Mbona mara kadhaa wa kadha aliweza msamehe Wema anashindwaaje msamehe baba yake mzazi,if he real believe in God forgiveness is a blessing.Mna mlaumu bure kuna mambo mengine mtu anapenda kusamehe ila inashindikana.kwani huenda kila anapomuona chuki inampanda
Inawezekana mama yako alikua na maneno machafu kwa baba yako fanya uchunguzi kabla hujahukumuHata mm ilinichukua muda sana kumsamehe baba yangu ingawa bado mpaka leo anaishi na mama. Baba ambae hafanyi majukumu yake kwa mtoto wanaumiza sana watoto kisaikolojia. Naelewa jinsi diamond anavyojisikia kuhusu baba yake. Inahitaji neema kumsamehe irresponsible father.
Hata mimi hiyo interview nimeiangalia Baba wa Diamond anasema wazi mwanae ana msaidia na hana tatizo nae kabisa!Diamond mwisho wake mbaya sana atakuja juta amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji huwezi kujua mapenzi ya baba yako na mama yako yaliingia dosari gani kwa mwanaume mwenye akili hayo mambo usiyaingilie unatakiwa uyakwepe usukubali kujumuishwa humo inahitaji akili sana sababu ni rahisi sana kwa mama kumwaminisha mtoto mabaya ya baba yake kuliko baba kumwaminisha mtoto
Nimeona interview ya clouds tv na mzee platnumz, kweli jamaa kachoka. Huyu ni baba yake na mwanamuziki matata nchini Diamond Platnumz.
Kama alikukosea wewe na mama yako, mbona ameshasema mumsamehe? Bila ya yeye Diamond asingekuwa alivyo sasa. Hivyo inatakiwa Diamond awe na moyo mkubwa wa kusamehe mtu ambaye ameshaomba kusamehewa. Binadamu tuna mapungufu na ni ujasiri ulioje kukubali kuwa umekosa na kuomba kusamehewa. Diamond ni kioo cha jamii, awe na moyo wa kusamehe. Pia kwa Queen Darlin, baba yenu kawaomba msamaha wote. Msaidieni. Nadhani kwa kiasi fulani anaweza akawa mtu wa 'sembe'.
P.s: Sikujua kama Diamond na Queen Darlin ni mtu na dada yake. Wanashea baba, tena huyu aliyehojiwa na Clouds Tv Weekend chat.
Kama wamefanya hivyo si jambo jemaHata mimi hiyo interview nimeiangalia Baba wa Diamond anasema wazi mwanae ana msaidia na hana tatizo nae kabisa!
Haya mambo media ina ya kuza sana ..!
Nimekerwa sana na kitendo cha Clouds kwenda kumhoji mtu aliye kuwa amelewa na anaonekana kabisa na sijui lengo lao ni nini? Mimi naamini kabisa sasa wamepitiliza sana!
Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!Kama wamefanya hivyo si jambo jema
Ila anapoomba msamaha na kukubali kuwa alikosa, inabidi kuwa na busara na kumsamehe tu. Diamond is too big not to forgive his father. Ni African icon.Hata mm ilinichukua muda sana kumsamehe baba yangu ingawa bado mpaka leo anaishi na mama. Baba ambae hafanyi majukumu yake kwa mtoto wanaumiza sana watoto kisaikolojia. Naelewa jinsi diamond anavyojisikia kuhusu baba yake. Inahitaji neema kumsamehe irresponsible father.
Power of forgiveness is soo powerful. Diamond na mama yake lazima wana psychological burden moyoni kutokana na mzee platnumz.Amsamehe kwa faida ya nani hapo sasaa?
Ila pamoja na hayo, Diamond can do better kwa bana yake. Kimuonekano hayuko sawa, eidha ni alcoholic au anabwia.Hata mimi hiyo interview nimeiangalia Baba wa Diamond anasema wazi mwanae ana msaidia na hana tatizo nae kabisa!
Haya mambo media ina ya kuza sana ..!
Nimekerwa sana na kitendo cha Clouds kwenda kumhoji mtu aliye kuwa amelewa na anaonekana kabisa na sijui lengo lao ni nini? Mimi naamini kabisa sasa wamepitiliza sana!
Uko sawa mtani huyu baba diamond alikuwa amelewa sana hata kujieleza ni shida.clouds inabidi wawe na mipaka ya hizo interview zao maana kama nia yao ilikuwa ni kumuhoji wangesubiri akiwa sawa. Vinginevyo ni kutaka sifa za kijinga zisizo na maana.Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!