Matokeo ya Tuzo za @KTMA kuanzia Mwaka
2013-2015.
2013-Mwaka wa 20 percent alipata Tuzo 5.
2014-Diamond Platnumz alishinda tuzo saba(7).
2015-Ali Kiba alishinda tuzo 5.
Kwa hiyo inaonekana Twenty Percentage na Ali Kiba viwango vyao havina utofauti,tuseme tu Twenty manejimenti yake iko wapi mboni IPO kimya,Japokuwa Rockstar IPO nyuma kumuwezesha Ali kiba kuwa kwenye anga za kimataifa kama
Chibu D.so tunategemea 20 pasenti aje tens kwenye Game.