Diamond Platnumz ajinyakulia Tuzo nyingine

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
Hatimaye D.Platanzania ajishindia Tuzo za #THEHEADIS za nchini naijeria kwenye kategori ya MsaniiBoraBaraniAfrka.
Kinyang'anyiro hicho wakiwemo akina Cosper Nyovest,Uhuru,AKA na Sarkodie.
-Tuzo zilitegemewa zitangazwe 30disemba2015 na kusogezwa mbeleni 1January2016 na Sijui tatizo gani lilitokea kwa kategori moja ya #AficanArtist haikutangazwa mapema ambaoy alokuwa #Simba.
-Yote tisa la kumi DIAMOND P.is #TheWinner.
#Make Bongoflavor Safe Again and Great Again. D.Platanzania
#TeamWasafi all the way.
 
Hongera sana Simba aka Chibu aka Dangote aka nani tena Baba Tiffah na Mume wa Zari.

Tabasamu tu
 
Hizi tuzo itabidi haliongeze kabati maana imeshakuwa too much.
images
images

images
images
 
Huyu jamaa anadharau,kwani yeye ni mjeda hadi apige saluti.
images
 
Last edited:
Eeeh. Bado nawaza sanaaa zile tuzo mashauzi airport......

(Je utanipenda,2015)
 
Tuzo kubwa sana hii, hongera Simbaa

Tumeanza ya kwanza 2016, mdogomdogo zije za mafuriko kuzidi mwaka jana...
 
Nasubiri niwasikilizie KTMA mwaka huu watakujaje, wakileta ujinga wa mwaka jana watavuna aibu maana walidhani wanaweza wakamshusha baba T na kumpandisha Kibba.
 
Sio kuwa watavuna aibu, aibu walishapata na kwa sasa zile sio tuzo kwa Diamond, hazina uzito wowote labda tu wampe tuzo ya heshima...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom