Yaani ilikuwa hivi; Diamond na mama yake wako nyumbani, lile jini likatupwa shaaaaaaaaaa bahati nzuri mlengaji hakulenga vizuri likamkosa Platnumz na kumpata mama yake. Kilichofuata mama hoi madaktari hawaoni ugonjwa.....
Hii ndio Tanzania bana watu wana imani zao ndio maana Albino wanauawa kama kuku!!!
Nimechoshwa na habari za diamond
Mungu tu hakupenda limpate Diamond lakini inasemekana kwamba jini hilo ni hatari endapo lingempata Diamond kwa jinsi lilivyokuwa, basi pengine leo tungekuwa tunazungumza mengine,