Shida yako leo umechelewa kwenye mishe mishe yako.Hebu tafuta sehemu upige supu kwanza.
Mimi sijasema alichoongea nini hapana nazungumzia the way alivyojielezea tuu kama pumba zake kama point zake ila nilichoona alivyojieleza.Angalia interview za Dully hata akiongea point yote utadhani takataka hana staha.