DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
huyu kijana inabidi hata atengenezewe sanamuHawaamini wanachokiona...
ila hata zikifika bado Diamond ni MashuhuriYoung Money
Cash Money Brothers
Hizi ziliwika dunia nzima ila leo ziko wapi?
Kabisaa mkuuuhuyu kijana inabidi hata atengenezewe sanamu
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kupata muda wa kupitia UZI huu.
Chamsingi zaidi ni kutaka kuweka bayana kuwa kwasasa hamna namna inabidi tukubali tu msanii Diamond mtoto wa tandare ndio msanii mashuhuri na nguli kwa sasa ukizungumzia Tanzania na nje ya Tanzania.
Vita ndogondogo za kutaka kumuangusha zilionekana wazi kwa baadhi ya media nchini lakini kijana huyu akazipangua na kupambana nazo kwa hali na mali nakuonekana amefanikiwa kukabiliana nazo kwa 100%.
Ukiangalia idadi ya wasanii anaowamiliki katika Lebel yake utapata picha kwamba lile sio kundi tena la muziki bali ni Tasisi ya Muziki kwani imesheheni kila idala kwa kuwa na wasanii wakubwa na wenye ushawishi hata kama nyimbo zao hazipigwi katika media nyingine.
Vilevile kwa hili alilolianzisha hivi karibuni kuwa kuna tamasha la Wasafi Festival ndio ameua kabisaaaa kwani nina uhakika hata kama asingekaribisha wasanii wa nje ya lebel yake bado wangejitosheleza kwa upande wa burudani.
Kubwa zaidi ni baada ya kuanzisha media zilizo chini ya taasisi yake ikiwa ni Redio na Television, hii inamaana soko la mziki kwa sasa anauwezo mkubwa kulimiliki na kujua ni kwa namna gani msanii ananufaika na kuweza kutengeneza mianya ya pesa kupitia uzoefu atakaoupata katika ushindani uliopo kwa sasa katika Tasnia ya mziki kwa sasa.
Kikubwa na cha maana inabidi tukubali kuwa kwa sasa Diamond ndio Simba halisi wa muziki katika kizazi tulichonacho, na vilevile tuwekane wazi hakuna msanii ambaye amewahi kuweke rekodi ambazo zinawekwa na Diamond kwa sasa.
Bado wanatengenza pesa drake nick minaj lebel bado ipo mkuuYoung Money
Cash Money Brothers
Hizi ziliwika dunia nzima ila leo ziko wapi?
Wanafukizia upepoHawaamini wanachokiona...
Ahahaa haaaa utafungiwa mkuuSawa msemaji wa wcb aka nyegezi
Hawaamini wanachokiona...
Hongera zake
team yoooo wanakuja
Yote uliongea ni kweli.......huwaga nawaga tu......hivi tanzania na muziki wa hiphop kilitokea nn
Wengine watasema mziki wa hiphop unauza marekani tu,,,,,,,mim nasema no,,,,,,mziki unasua sua hapa bongo tu.........
Lkn hata africa hapa nchi nyingi sana wasanii wa hiphop ndo wanamafanikio makubwa sana sambamba na hawa wa kuimba au hata zaidi yao.
Sasa bongo nin kinatokea hiphop haitoboi?
Wewe hunaga cha kuandika zaidi ya hiki?Young Money
Cash Money Brothers
Hizi ziliwika dunia nzima ila leo ziko wapi?