Diamond na Wema, Full drama!

Sparkle boy

Member
Oct 19, 2012
75
8
Wewe kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi Wema alipompigia simu na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.
 
Ki ukweli mi ni super fan wa diamond but kwa hili cimsapoto ye mtoto wa kiume angekausha tu and kwani hakustahili kufanya hivyo. Kiukweli kaboa na kuchemsha kwa hili

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
daaaah jamaa kaboa kishenzi Yan ni ushamba unamsumbua yote iyo ya nini au yeye angefanyiwa ivo akimbembeleza demu wake angefili vipi I despise him
 
Tatizo huyo diamond mshamba ingekuwa watu wote wanafanya hivyo ...basi mitandao yote ingejaa viclip

ndio maana sipendi kumuona wala kusikiliza muziki wake ..etu sukari ya warembo :tape2:

Wakati sukari yako anayo mmeo .............!
Labda wangesema sukari ya milupo a.k.a MIZOGA .............!
 
Huyo Wema mjinga kabisa.

Tayari Diamond alishamtosa hadharani pale Mlimani City. Wema alienda kumtuza vijihela vyake Diamond yeye akaendelea na shughuli yake.

Baada ya hapo Wema akaenda Clouds kwenye kipindi cha XXL akasema ya kuyasema watu tukadhani sasa maybe she is through with him for real.

Kumbe wapi! She is not over him yet. Bado anamtaka. Kama hamtaki kwa nini anampigia simu kijana wa watu kumbembeleza na kumtaka aende nyumbani kwake?

Yeye Wema hana mwanaume sasa hivi? Mtu anajua kabisa kwamba Diamond ana mwanamke wake na wana expect mtoto sasa ya nini tena kumpigia simu na kumbembeleza aje kwako? Aje kwako kufanya nini kwanza?

Huyo msichana hajielewi wala kujitambua. Mtu hakutaki wewe bado unajipelekapeleka kwake. Sasa ndiyo matokeo yake haya. Unaadhirishwa hadharani kama zumbukuku.

Na sijui hadi aadhirishwe hadharani mara ngapi ndiyo ajue kwamba kweli jamaa hamtaki. Mjinga sana huyo msichana.
 
Mimi siyo mshabiki wake, ila naona dogo bado anaulimbukeni mkubwa,yule alikuwa demu wake hivyo sioni tatizo akimuomba waludiane.
 
tatizo huyo diamond mshamba ingekuwa watu wote wanafanya hivyo ...basi mitandao yote ingejaa viclip

ndio maana sipendi kumuona wala kusikiliza muziki wake ..etu sukari ya warembo :tape2:
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!
 
Wema jamani wema!huyu mwanamke ana mavituko yakutosha acha daindomo amuumbue maana wema akienda kwenye maredio huko anasema daimond anamshobokea ulitegemea nini......yani big ups man wa nataka kesho mwanamke si wa kumuonea huruma fukuza cheche hilo halina dili liumbue tu lishindwe cha kusema....
 
hana akili huyu dogo wala maadili......hayo maongezi yalikua yake sasa kuyaweka hadharani ni ujinga tu
Hivi amesahau kuwa wadada du! ndio mashabiki wake??
dah ana tabia za kinanihino sana huyu
aangalie saaana asiharibu kibarua
 
Jamani shule muhimu, japo kuhudhulia miaka minne inatosha.

mm simlaumu sana Diamond kwani tatizo lake Diamond ni hana Elimu, angekuwa na Elimu ningemlaumu.
 
Yani huyu dogo ana hitaji ushauri kabisa anako kwenda siko kabisa!
 
Back
Top Bottom