Diamond na Tanasha = Jay Z na Beyonce

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,297
Reaction score
4,690
Hii ni couple ambayo wakati inaanza wengi haikuwashtua, lakini muda unavyozidi kwenda inazidi kuwa na nguvu za ajabu. Ni swala la muda tu, ila awa ndio Beyonce na Jiga wa Africa.

 
Acha kumlinganisha jigga na vitu vya kijinga
 
Heheheheheheeover mama domo dead foot

#hateratwork
 
maneno yako ni mazuri, ila mifano yako mibovu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…