Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,511
- 14,822
Alikiba ni balozi wa BOA ila hatakagi watu wajueYeye yupo bize na MO fayaa!!
Anakunywa peke yake na kina Tony fleva,
Hataki watu waonje utamu wa MO faya
Zisije zikaisha ndio maana hajazipeleka madukani.
Hatakagi kabisa wamtajeKingKiba ni balozi wa kampuni nyingisana ndani na nje ya nchi sema hapendagi tu show-off
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye Alikiba mfumo wake upo hivyo pia ni usalama wa Taifa.Hivi unaelewa maana ya kuwa balozi wa kitu we jamaa, kuwa balozi ni kutangaza bidhaa au kampuni au kitu kilicho lengwa kwa watu wako kutokana na ushawishi ulio nao katika jamii Sasa unaposema hapendi show off sijakuelewa kabisa Sasa anatangazaje hizo kampuni
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".KingKiba ni balozi wa kampuni nyingisana ndani na nje ya nchi sema hapendagi tu show-off
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]eti anakunywa peke yakeYeye yupo bize na MO fayaa!!
Anakunywa peke yake na kina Tony fleva,
Hataki watu waonje utamu wa MO faya
Zisije zikaisha ndio maana hajazipeleka madukani.
kiufupi kiba hapendi watu wajue ata kuwa ni msaniihuo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".
hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.
utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.
ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23]anayafanyia chumban kwakeKingKiba ni balozi wa kampuni nyingisana ndani na nje ya nchi sema hapendagi tu show-off
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukwel ndo maan makampun hayamfuat kumpa mikataba sabb jamaa mwenyew amebwetekahuo ndio utetezi wenu "hapendangi ku-showoff".
hivi kweli let say uwe balozi wa kampuni X inayotengeneza viberiti halafu hupendi watu waone kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii?. hizo akili matope?.
utatangaza vipi product za kampuni husika bila watu kuona.
ukweli ni kwamba, kiba hana lolote.
ahahaha,dahYeye yupo bize na MO fayaa!!
Anakunywa peke yake na kina Tony fleva,
Hataki watu waonje utamu wa MO faya
Zisije zikaisha ndio maana hajazipeleka madukani.
Wewe utakuwa mgeni wa hili jukwaaHivi unaelewa maana ya kuwa balozi wa kitu we jamaa, kuwa balozi ni kutangaza bidhaa au kampuni au kitu kilicho lengwa kwa watu wako kutokana na ushawishi ulio nao katika jamii Sasa unaposema hapendi show off sijakuelewa kabisa Sasa anatangazaje hizo kampuni
Sent using Jamii Forums mobile app