Diamond mkanye sana baunsa wako bila huruma yako juzi ningempa kichapo

nakuvutia picha huo uwezo wa kumpiga baunsa unao??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Anabweka tu humu, natamani angemgusa baunsa hata kitasa kimoja ili kile kilichotokea baina ya mayweather na yule dogo mjapani aliopigwa vitasa hadi akalia kimkute mtoa mada apigwe mbele ya mke wake na watoto hadi alie kama mtoto.

Ugomvi wa kutafutaga sifa sio mzuri halafu mabaunsa huwa wanafanya tizi full time so pumzi zipo. We unategemea uzinguane na mwarabu fighter au Zola D halafu ubaki salama? Atakuvuruga akuvunje vunje uaibike
 
Wale Vijana hawana Walinzi Bali Wana Watunisha Vifua Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Jamaa swaga za kumpromot Dangote simba aka chibu baba tifaaa.....zimemwishia naona kaamua mchoma baunsa wa chibu ili akachukue nafasi ya utunisha misuli na kushika mirango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…