Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,650
Kwa nini watu huwa mnalitumia hilo neno ‘bouncer’ visivyo????
Lugha kwetu ni majanga kabisa!
Lugha kwetu ni majanga kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anabweka tu humu, natamani angemgusa baunsa hata kitasa kimoja ili kile kilichotokea baina ya mayweather na yule dogo mjapani aliopigwa vitasa hadi akalia kimkute mtoa mada apigwe mbele ya mke wake na watoto hadi alie kama mtoto.nakuvutia picha huo uwezo wa kumpiga baunsa unao??
Sent from my iPhone using JamiiForums
We huna ubavu hata wa kuvunja biskuti ila maneno mengi! Mtu mwenye ubavu hapigagi kelele analianzisha tu. Sasa wewe pona yako ni huyo Platinumz kuja kukuzuia tu usidhalilike.
Jumapili iliyopita hii ya juzi nilikuwa supermarket ya Game pale mlimani city na familia Famillia yangu, ile nipo kwenye mizunguko yangu huku na kule nikiangalia bei za bidhaa mbali mbali zilizokuwepo pale mara paap nikashangaa tu limkono limeshiba na misuli minene eti linanizuia nisipite njia ile.
Kumbuka hapo nlikuwa sijui kama Diamond na Dem wake Tanasha wapo pale pale kwenye ule uchochoro nnaopita mimi, Baada ya yule Baunsa kunizuia nikamuangalia juu mpaka chini, juu kajazia na chini alikuwa mwembamba hivi alikuwa kavaa suruali Modo ,Chafu chafu hivi, kama fuko la mashineni.
Baada ya kumuangalia vizuri yule baunsa ndio ikabidi nitazame kushoto na kulia kuangalia ni nani aliyekuwa anampa jeuri yule Baunsa, kuangalia vizuri ndio nikamuona Diamond na dem wake Tanasha kumbe walikuwa pale pale,
Nikamwambia yule baunsa anipishe nipite pale sio nyumbani kwa mama yake, huku usoni nikiwa nimeshabadilika, nipatwa na hasira gafla, ile nataka kupita akanizuia tena ikabidi nimpe kikapu nilichokuwa nimekishika mke wangu, ili nimpe vitasa yule bausa pale pale maana hakujua kuwa sio kila mtu ana shobo na wasanii, so nilitaka nimshikishe adabu
Ile nataka kumrukia tu Diamond ndio akaingilia ule ugomvi akinisihi nimsamehe na niendelee na mishe zangu, kwa kisingizio kuwa atamkanya yule baunsa na ndio ikawa pona pona yake
Ushauri wangu kwako Daimond ajiri baunsa mmoja ambaye ni smart na ana elimu kuliko kubeba mabaunsa ya vichochoroni huko ambayo hayajui mipaka ya kazi zao, sio kila mtu anapenda kushobokea wasanii, tunakupenda lakini kwenye maisha ya mtu private huwa hatushobokeagi mtu wengine sisi ni watu wazima
Mkanye sana baunsa wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mabouncer nyama tu hizo...huku kwetu tunawapaga kisago tu wakizinguanakuvutia picha huo uwezo wa kumpiga baunsa unao??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulia dogo endelea kubeba boxi huko chooniKwa nini watu huwa mnalitumia hilo neno ‘bouncer’ visivyo????
Lugha kwetu ni majanga kabisa!
Mkuu huyo kwenye avatar ndio wewe?Hah hah... Weka ka video mkuuu
Manzi angu Mzeee. Umeipenda???
Wasafi sio watu wa mchezo mchezo nipo Morogoro hapa - JamiiForums
Wasafi sio watu wa mchezo mchezo nipo Morogoro hapa
Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media - JamiiForums
Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media
LICHADI adi morogoro ulimfata
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndio ukweliUngechakazwa, sema diamond aliona atagharamia uharibifu
Mwache Keyboard warrior abwekeWe huna ubavu hata wa kuvunja biskuti ila maneno mengi! Mtu mwenye ubavu hapigagi kelele analianzisha tu. Sasa wewe pona yako ni huyo Platinumz kuja kukuzuia tu usidhalilike.