Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
kwa wapenzi woote wa music wa Diamond..kaa tayari kwa video ya wimbo mpya kabisa wa diamond..video inayorecodiwa nje kabisa ya Africa mashariki
kwa maandalizi yanayofanywa inatalajiwa kuwa aiana ya video ambayo hakuna mwana bongo fleva aliyewahi ifanya..keep waitn

 
Last edited by a moderator:
wewe jamaa ni mjinga we ndio unajitia afisa habari wake na hata akujui et video nje ya east africa nini sasa kwani apo we unatoa info au umefanya janja janja 2 ili na wewe uonekane uko na ukaribu na jamaa#
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404765562.448636.jpg
    142.6 KB · Views: 1,314
Last edited by a moderator:
naunga mkono kutafuta tune yetu ila hii nyimbo imekaa kizaramozaramo mno, itakuwa maarufu sana kwa waswazi na kwenye vigodoro lakini kwangu hapana.

kampuni aliyoingia nayo mkataba wa shooting imemtendea haki kwa kumchanganyia na wazungu kimtindo kimtindo, kampuni liyofanya shooting inajuwa kufanya biashara na mtu mweusi.
 
nimesikitika sana video ya ukweli halafu wimbo wa kipuuzi
 
Acha aupaishe mnanda wetu, mbona wanaigeria wanatamba na ngoma zao, tena cha maana wanachoimba hamna ila mdundo tu tunachizika.
tujifunze kupenda vya kwetu...
 
Acha aupaishe mnanda wetu, mbona wanaigeria wanatamba na ngoma zao, tena cha maana wanachoimba hamna ila mdundo tu tunachizika.
tujifunze kupenda vya kwetu...

wewe utakuwa ni mzaramo au mswahili mswahili hivi siyo bure. pale diamond kakosa washauri shooting angefanyia msanga au rufiji kwa bajeti isiyozidi million 10.

waliofanya shooting hii ndio ilipaswa washoot my namba one
nyimbo ingeendana na shooting nadhani hata dovido angetemeshwa tuzo moja huyu dogo angepata.
 
Tatizo wabongo mnaangalia videos tu Audio walaa yani wabongo watu waajabu sana yani mkiangalia audios zote za hizo videos mnazosifia ujinga hapa mboovu, yani bora na kidogo hiyo mdogo mdogo sasa hiyo burn burn audio mbovu jamaa kajidai kuimba kingereza cha kinigeria ndio kabisaa kaharibu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…