Barcelona763
Member
- Mar 9, 2018
- 26
- 21
Hata mimiSijaelewa
Wengine watakuwa wamewahi ,alafu new member na alichokiandika hakieleweki.Kwani shule zimefungwa??
Mkuu na wewe umekuwa wale wale. Tuliza kuhemuka, andika vizuri uelewekeUlivyoandi kama ww ni diamond hapo hapo ukwa laizer ukajeuka tena ukawa shabiki kisha ukarudi kuwa konde boy
Mkuu na wewe umekuwa wale wale. Tuliza kuhemuka, andika vizuri ueleweke
GanjaKuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic
Kusikia Jaya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.
Vipi mitihani ya form four umefanya vizuri? Usije ukawa umechora mazombi kule 😂😂😂Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic
Kusikia haya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.
kutoelewa wazo hili ni kama hujui kusoma ndio hukuelewa.
NGOJA NIRUDIE KUSOMA VIZURI
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.