iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 221
Mapema yote hii hata kabla hajastaafuMay be anakula pensheni yake...
Hana kitu kichwani huyu jamaa ni upepo ulimkalia vizuri ila kwa sasa ni byebye very soon ataokota makopoSimba au dangote wa miaka mitatu iliyopita sio huyu wa sasa nadiriki kusema kageuka paka sio simba tena.
Simba wa zamani ilikuwa ni ngumu kumkuta bongo ratiba yake ilikuwa booked almost the whole year,hakuwa na muda wa majungu wala vijembe alikuwa busy na show kama sio show basi alikuwa na ratiba ya collabo na artist wa nje alikuwa hafikiki kirahisi.
Toka mwaka uanze mond hajafanya show yeyote kubwa wakati wakina Whizkid na Davido ambao walikuwa level moja nae au kawazidi wakiwa wanapasua anga mond yeye anazidi kushuka chini alifanya shoo chache london lakini zote zilidoda na nyengine akanusurika kichapo yeye na crew yake,
Muda mwingi yuko bongo akileteana majungu na wanawake zake kina Hamisa je tatizo nini?
Mkuu umetisha dawa ya umbeya ni dataHata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Au labda unamzungumzia Diamond mwengine.
Ruge atamsumbua best naso sio Simba mfalme wa mbugaChezea Ruge wewe!!
Aliyekuzidi kakuzidi tu
Endelea kusubir embe chini ya mpapaiHana kitu kichwani huyu jamaa ni upepo ulimkalia vizuri ila kwa sasa ni byebye very soon ataokota makopo
Hizo ni akili zako mgando, hakuna cha kukusaidiaUkweli mchungu, Clouds media sio watu wa sport sport
Siku kamba mguuni zikikutoka , tutafahamishanaHivi hiyo Dawimondi ndiyo nini eti?
Maana mie mgeni.
MkuuHana kitu kichwani huyu jamaa ni upepo ulimkalia vizuri ila kwa sasa ni byebye very soon ataokota makopo