We ungejisikiaje kama angeanza kumsifia masogange saana, wakati we hapo upo kama moja au, akamsifia saana wema sepetu, wakati we hapo unafanana na Baloteli,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Tumia akili wewe
Mkuki kwa nguruwe... eeeh!!???
Mkiachwa au watu wakianza kuwa ignore,,, mara oooh jamaa kabadilika!!.