mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Mkuu kama ni kweli basi chukua like yangu[emoji106]Ahhhhh hapana akili za kuambiwa changanya na zako kwnn akaoe instagramu aisee mwanamke anawaza party tu badala ya kupigana na maisha anapigana kumfanyia MTT sherehe kila siku she is not wife material,hafai kwa uzuri ni mzur kwl kwan unafikir kwnn wanamkataa wakishazaa kina majizo? Huyo zari munamuita bb umeona ivan alivyokuwa akililia warudiane? Chibu mwenyew akasema atakwenda south kwa goti....unadhani wanapenda k hapo? Hapo ni akili ndio zimewavutia! Zar anajielewa anajua shida n nn na anajua kuhaso kutafuta pia anawashauri wanaume wake mambo ya maendeleo!.. Zar aliwah kukataa birthday ya tiffa ya milions of money afu akamwambia chibu pesa aongezee kwenye nyumba chibu akaongezea pesa akanunua nyumba south!...hamisa angeweza hiyo?
Kwahiyo kwakuwa wewe unamuona mzuri (point No.3) unataka kila mmoja amuone mzuri...Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Hajafika ata miaka 30 hana haraka kuoa si mchezoHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
kwani mwanaume kukuacha hadi uwe hujatulia?
Muda bado
Numbisa KUACHWA NA MAJIZO HAIMAANISH KUWA HAMISA HAJATULIA. LABDA MAJIZO MFUNUAJ TU
HA! HA! HA!Ushauri mbovu kupata kutokea JF
Mwanaume kuoa akiwa na 28 ni kujinyima haki na kujipunguzia umri wa kuishi.
Kwa kinywa chake alisema yupo na diamond miaka 9, ndani ya hiyo miaka akawa na majizo akazaa utulivu uko wapi hapo?Numbisa KUACHWA NA MAJIZO HAIMAANISH KUWA HAMISA HAJATULIA. LABDA MAJIZO MFUNUAJ TU
sawaNdo nini hiki sasa?Je wewe umeoa au umepewa masharti?This is personal issue yake.Kaoe kwanza wewe
Kimbia kwa Hamisa ukachukue mgao wakoVigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Hee! Hivi kumbe ni used?Aiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
Kama ndivyo basi hayo masharti watakuwa wamepewa wengi manake hata Legendary Joseph Haule wa mid 1970's kaoa juzi tu hapa seuze Chibu wa late 1980' s!!!Hivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?