Walishawahi kunipigia na jamaa alijitambulisha kwa jina la Adriani, wa sinza, anadai amesikia sifa zangu mie ni mchapa kazi so anatanani nifanye nae kazi, cha ajabu cmjui wala hata mtu alompa namba yangu simjui, nilimuuliza maswali km 20 hivi mwisho nikamwambia nitumie email kutoka ktk email ya company yenu!! Mwisho akaingia msituni.