Ndimu haziwatoshi kabisa.
Usisahau picha chini kuziangalia
Mimba mimba utazani siku inaingia walikuwepo.
Halafu wengi hata kuhesabu tarehe hawajui yaani wanasahau kuanza tarehe ile ya kwanza ya siku ya he.dhi hapo sasa nani anaijua siku hiyo wamuulize Zarina mke ya Diamond na Diamond.
Kwa kukadiria na dates zao za kukutana November na kuduana mwezi huo kukadiria labda hedhi ilianza tarehe 1 kama wengi...ila inaweza ikawa siku hata za nyuma wengine kabla mwezi haujaisha au kwrnda kati ya mwezi pia ....inategemea. so pichani makadirio tu usianze kupayuka soma kula ndimu ukikataa
. mambo yapo shwari kabisa kabisa kwa mategemeo yao ya July/ August alisemaga D hivi juzi kasema Aug watu wanaugua kabisa kosa liko wapi wangapi duniani wanakosea mengi hata wao wenyewe au ndugu zao. Mnajua mambo yakienda salama bila hata mama kuugua tarehe zitakuja zilivyopangika . Bila kusahau +2 na -2. Mungu awalinde, Amina.
Ya katunzi sasa hivi kwa zile picha mimba ingekuwa imeshafika wiki 50 kama sio zaidi...lol
Zari ana dadake na shemeji na mwanao wanaishi Dar anakujaga kuwaona hao hawatajwi kabisa kabisaaaaaaa...uzi humu upo ulitoa picha.
Eeh na leo Diamond ataleta habari la duka la watoto alikoenda Msasani City mall na ndimu msisahau kuziweka pembeni yenu mtazidi kuziitaji.
Hadi nacheka jamani kuna nyuzi nyingi humu facts zimeshuka, ila zinapitwa bila kupingwa. Wamwache mtoto wa Tandale ajilie bata na kusubiria mwanae. Lazima wachawi wanawanga kujaribu kubadili sura ya mtoto tumboni.
Jana acha warukie eti fees fees, pesa zao wamebania hawataki kukomboa watoto hao eti waliotelekezwa si msaada. D kutoa contacts zake instagram naamini hadi sasa hawajampigia.
Tumwache D awe D bila D hakuna raha kwa waTZ kwa sasa, bila D hawauzi magazeti, hawapati hits kwa websites zao hawa kila kitu.
Ila kuzidisha mnazidisha na kutia aibu waTanzania kutupa picha mbaya sana ya hayo yote mabaya
Ila kiki anaipata Diamond platnumz na Zari yaani umaarufu wao twasubiria reality tv ije kwa kweli
Eeh kesho msisahau mwimbo mpya Diamond Platnumz ft Flavour NaNa
mmoja ya wa Nigeria waimbaji niwapendao kuwasikiliza kama umemsahau sikiliza moja ya hit zake bomba
https://youtu.be/yMSTYtMSbL0
(Nwa baby) Ashawo remix-
Enjoy