Diamond, hivi kweli limelipuka?

Haaaaaa baby mbona mie Nilishakubal kuwa Madam hana chake pale..
 
Last edited by a moderator:

Kwa sera tu hunaga mpinzani
 
Last edited by a moderator:

point!!
 
Hello, hakuna ndugu nipo poa tu. Hadi naambiwaga nipo kwenye mgmt timu ya D. Mbavu zangu maana wanakubali yashukayo

Mhuu!
Yani mami huwa unashusha migazeti wengine huwa twajipitia tu.
Ila kwenye umbea wetu mwingine huwa nasoma kwa kweli maana huwa unakuwa katika senses zako, sio zile za kilevi levi na ushabiki.
 
Mhuu!
Yani mami huwa unashusha migazeti wengine huwa twajipitia tu.
Ila kwenye umbea wetu mwingine huwa nasoma kwa kweli maana huwa unakuwa katika senses zako, sio zile za kilevi levi na ushabiki.

Ni kweli bibie kwa chibu huwa ana kuwa out of senses ila kwenye ubuyu mwingine yuko vizuri tu.
 
Wema ndio alimuacha Diamond kwa kumpa likizo au alikuwa anatishia kujamba wakati ana tumbo la kuhara? Au alikuwa anajaribu kama ndumba zake bado zina nguvu?

Mpwa vipi mbona maneno mengi hivyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…