Wakati hasimu wake Kiba bado anahangaika na jinsi ya kufanya shooting ya cheketua zaidi ya miezi kadhaa sasa mwenzake anatoa wimbo wa pili sasa tena full audio na video
Huyo ndio Nassib bwanah!hutaki unaacha!!!watakunywa mwarobaini mpaka watapike asali ahahaahahaaaaa!!
Halafu wangejua wangekaa tu kimya wakampuuza lakini hivi wanavyojifanya kuungana na makundi yao ya kinafiki ndio wanazidi kumpandisha hasira kwenye kichwa chake!!anawarushia makombora barabara na yanawatandika vizuri sana!
Ile ndio Icon ya TZ banahNampenda kufaaaaa na sitobadili msimamo milele.l