Mawingu kutotumia wasanii mastaa hii ni habari mpya! Tumeona mara nyingi mastaa wetu kibongo wakitumika na mawingu.
Ishu inabaki vilevile kuwa kutokana na kukwepa gharama kibiashara Clouds wameshindwa kuwatumia wasanii wa nyumbani ambao wamekuwa wakitoza pesa ndefu kwa show!
Kila mmoja anafahamu gharama za Diamond kwa show moja, sasa huwezi kumtumia kuzunguka mikoa yote Tz wakati wapo kina Belle 9 na Ommy dimpoz!!
Hailipi, na ndio maana tunasema wamemshindwa!!