Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,828 Feb 10, 2018 #41 PAGAN said: Kiba ashaimba na R Kelly unataka kumfananisha na Diamond? Click to expand... Maisha ya kupenda kufananisha fananisha watu au vitu ni maisha ya ovyo sana kama hujui. Unatakiwa kuelewa kila mtu ana strength na weakness zake
PAGAN said: Kiba ashaimba na R Kelly unataka kumfananisha na Diamond? Click to expand... Maisha ya kupenda kufananisha fananisha watu au vitu ni maisha ya ovyo sana kama hujui. Unatakiwa kuelewa kila mtu ana strength na weakness zake
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,848 Reaction score 95,048 Feb 10, 2018 #42 Kwa Akili za Mwarabu Koko SALLAM usikute yeye ndio kawakurupua watu wa ghana ili akafanye Show huko.