P Square wana kila sababu za kuwa na views nyingi kuliko Diamond kv, pamoja na mambo mengine, population ya Nigeria ni karibu mara sita ya population ya Tanzania... jambo la msingi ni kwamba, as of now, Chibu yupo juu coz' hata chati za Billboard, huwezi kusema kwavile Nick Minaj yupo top of the chat as of now, basi tusubiri miezi mitatu tuone kama ataendelea kuwa hapo!