Diamond ang'aa na tuzo tatu za KILL...

Salim Mhina

Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Msanii aliye katika nafasi ya juu katika medani ya music wa kizazi kipya (bongo fleva) Naseeb a.k.a Diamond ameibuka na tuzo tatu katika mashindano yanayoendeshwa na kuratibiwa na bia ya KILIMANJARO (KILL MUSIC AWARD).Tuzo hizo amezinyakua katika nafasi tofati ambazo ni:
1)Mchezaji bora wa mwaka jukwaani,
2)Mtunzi bora wa mashairi na
3)Video bora ya mwaka.
Msela kajitahidi sana na tunamtaka aendelee kukaza buti.Big up Diamond
 
Kanumba na ile singo yake hajapata zawadi?
 
wale wauza pombe ndo maana Tuzo yao ina puuzwa ! Ile ya mwisho ni ya upendeleo wa wazi kabisa, Barnaba anaweza kuwa overall ?
 
wale wauza pombe ndo maana Tuzo yao ina puuzwa ! Ile ya mwisho ni ya upendeleo wa wazi kabisa, Barnaba anaweza kuwa overall ?
kapendelewaje wakati tulikua tunawapigia kura sisi wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…