The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,429
Kwhy una tumia pepsi kisa mondi?Pa kumkomoa Diamond ni kuacha kutumia bidhaa za PEPSI.
Akose huo ubalozi wa mabillioni.
Una akili?Kwhy una tumia pepsi kisa mondi?
Hivi kwanini mna penda kuwatoa wenzenu akili na kujiweka ninyi ndio smart more than any one ?Una akili?
Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana kina kirefu.Hivi kwanini mna penda kuwatoa wenzenu akili na kujiweka ninyi ndio smart more than any one ?
Soma comment yako na nilicho kuuliza na ulicho nijibu then angalia kosa lipo wspi af niambie sawa boss
Acheni kujidanganya. Kizazi hiki siiyo hovyo kama nyinyi na kukidhani. Wanajua kuwa haki hupokwa siyo kuombwa. Machawa wengi waliwasuta kuwa wasingeweza kuandamana wakaishia kuwatia aibu na kuwaacha bila nguo. Endeleeni na uzwazwa huu muone.Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana lina kirefu.
Shida moja ya watanzania wanataka wakimchukia mtu fulani, basi kila mtu amchukie mtu huyo.Kwanini mjihesanie haki ninyi kwa nchi huru..... Je napaswa kukuchagulia nani wa kumpenda na kumchukia kwanini kila mtu asishinde mechi zake
Ni jambo la kawaida. Adui wa adui yangu ni rafiki yangu na rafiki wa adui yangu ni adui yangu.Shida moja ya watanzania wanataka wakimchukia mtu fulani, basi kila mtu amchukie mtu huyo.
Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasiokuwamo, na Samia kaapishwa.Acheni kujidanganya. Kizazi hiki siiyo hovyo kama nyinyi na kukidhani. Wanajua kuwa haki hupokwa siyo kuombwa. Machawa wengi waliwasuta kuwa wasingeweza kuandamana wakaishia kuwatia aibu na kuwaacha bila nguo. Endeleeni na uzwazwa huu muone.
Wakiendelea na huu ujinga, watakutana na kitu ambacho dunia nzima itasimama.Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasioluwamo, na Samia kaapishwa.
Gen Z ya Tanzania haina akili. Sasa wanachoma barabara, miundombinu ya mwendokasi, TRA, Polisi, Mahakama, hiyo ni akili au uzwazwa.
Waende wakajifunze upya Kenya
Wameonyesha uchafu na uhovyo na roho mbaya za watawala wetu maviii matupu. Kesho, watalianzisha tena na hawatafanya makosa yaliyotokea. Angalia kilichofanyika Madagascar, Nepal na Sri Lanka.Je wamepata nini baada ya kuandamana? Wameuliwa waliokuwamo na wasioluwamo, na Samia kaapishwa.
Gen Z ya Tanzania haina akili. Sasa wanachoma barabara, miundombinu ya mwendokasi, TRA, Polisi, Mahakama, hiyo ni akili au uzwazwa.
Waende wakajifunze upya Kenya
Hapo ndiyo mnakosea Tanzania usilinganishe na hizo nchi. IGP aliposema kila mtu awe ndani Saa 12:00 jioni, mkajua anaigiza, CDF alipowaasa Vijana acheni vitendo vya Kihalifu mkaona huyu Mjomba wetu. Wamekutana na moto mnaomba msaada jumuia za kimataifa. Ndiyo waliwatuma muwe Wahalifu.Wameonyesha uchafu na uhovyo na roho mbaya za watawala wetu maviii matupu. Kesho, watalianzisha tena na hawatafanya makosa yaliyotokea. Angalia kilichofanyika Madagascar, Nepal na Sri Lanka.
Kuna mtu wa kukuamulia wa kumpenda?Ni jambo la kawaida. Adui wa adui yangu ni rafiki yangu na rafiki wa adui yangu ni adui yangu.
Sikujua kuwa najibizana na chawa. Kumradhi chawa. Acha niishie hapa.Hapo ndiyo mnakosea Tanzania usilinganishe na hizo nchi. IGP aliposema kila mtu awe ndani Saa 12:00 jioni, mkajua anaigiza, CDF alipowaasa Vijana acheni vitendo vya Kihalifu mkaona huyu Mjomba wetu. Wamekutana na moto mnaomba msaada jumuia za kimataifa. Ndiyo waliwatuma muwe Wahalifu.
Huu ujinga mnaolishana mkiambiwa ukweli endeleeni nao, kuna mmoja nilimuona anawavimbia Askari wana silaha za moto ye kategesha kifua, kilichomkuta anajua yeye na Mungu wake.Sikujua kuwa najibizana na chawa. Kumradhi chawa. Acha niishie hapa.
Heri ujinga kuliko dhuluma na uzwazwa na uchawaHuu ujinga mnaolishana mkiambiwa ukweli endeleeni nao, kuna mmoja nilimuona anawavimbia Askari wana silaha za moto ye kategesha kifua, kilichomkuta anajua yeye na Mungu wake.