Si ajabu huna hata hiyo ya kuliwa mbu! JF kila mtu ni matawi ya juuAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Si ajabu huna hata hiyo ya kuliwa mbu! JF
acha dharau wengine ndo kazi wanazozitegemea kulishia watoto kama wewe una kazi nzuri usidharau wenzako chuja coment yako kabla haujaiposti
Kwema bro.?Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Acha dharau wengine wanategemea hiyo kazi kusomeshea watoto we kama una kazi nzuri mshukuru mungu aliye juu pia chuja kwanza kabla ya kukomenti jamboAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Acha dharau kijana ,bila ya hao si ajabu ungekua ushauliwa ,kuwalinda majambazi wa kila aina ambao wangekua mtaani ingekua vilio kila siku si jambo dogoAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
huu ni pure udaku heading yake na content ni vitu viwili tofautiSTAA wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kumtia matatani askari magereza mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, Ijumaa Wikienda lilishuhudia mkanda mzima.
Ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika Kitengo cha Ustawi wa Jamii, askari huyo alisahau kofia yake ya kazi yenye Krauni ya Bibi na Bwana kwenye kiti aina ya ‘benchi’ ambapo Diamond alipofika aliikalia, jambo ambalo ilielezwa kuwa si sawa kwa sheria za kiaskari.
Ijumaa Wikienda lilimshuhudia askari huyo akinyanyuka haraka kwenye benchi hilo kisha kumpisha Diamond na mwanasheria wake ambao walikaa na kuendelea na mazungumzo yao wakati mlinzi wa msanii huyo, Mwarabu Fighter akichukua sendoz za Diamond zilizokuwa zimekatika na kwenda kuzishona.
Wakati Mwarabu akichukua sendoz hizo, Diamond alishuhudiwa akirudi nyuma na kuikalia kofia hiyo yote bila kujua huku askari huyo akihaha kuitafuta kofia hiyo.
Hata hivyo, askari huyo alikuja kuiona na kofia hiyo baada ya Diamond kusimama, jambo ambalo liliwasababisha askari wenzake akiwemo mkuu wao kumuita na kumuonya mwenzao kuwa alikuwa amefanya kosa kubwa la kisheria za kipolisi.
Ijumaa Wikienda lilipotaka kujua kosa alilolifanya askari huyo lilimuuliza mmoja wa maafisa hao ambaye hakutaka kutajwa kwa kuwa siyo msemaji wa jeshi hilo ambapo alisema kuwa, kofia za askari ni sehemu ya sare na ni kosa kubwa kutoka mwilini mwa askari na kuchezewa kwa kujua au kutojua na raia wa kawaida.
“Kimaadili ya kazi ni sawa na bunduki ndiyo maana kijeshi ukiona askari amevuliwa kofia na mkuu wake, ujue huo ndiyo mwisho wa kazi yake. Maana yake anakuwa amepoteza sifa za kulitumikia jeshi.
“Huyo askari amshukuru Mungu kwa kupewa tu onyo, lakini angeweza kupoteza kabisa sifa ya kulitumikia jeshi la magereza,” alisema mmoja wa maafisa wa jeshi la magereza aliyeeonekana kuwa na cheo kikubwa tofauti na wengine.
sasa wewe nani kakuambia naogopa kifo.Acha dharau kijana ,bila ya hao si ajabu ungekua ushauliwa ,kuwalinda majambazi wa kila aina ambao wangekua mtaani ingekua vilio kila siku si jambo dogo
Nshomile mna mambo nyinyiAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ajabu huna hata hiyo ya kuliwa mbu! JF kila mtu ni matawi ya juu
Mungu anakuona ndugu yanguAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
kazi za ovyo tu hizoAcha dharau wengine wanategemea hiyo kazi kusomeshea watoto we kama una kazi nzuri mshukuru mungu aliye juu pia chuja kwanza kabla ya kukomenti jambo
Duuuh ila kimtindo wanakera sana polisiBora Hawa maaskari magereza hawanaga shida na raia sio km wale vijana wa siro wanejawa viherehere km bao la alfajiri