Wabongo kwa roho ya kwanini yeye hatujambo.... Katoa msaada kutoa msaada sio kuchezea ela, video mil 30, mbona ndogo. Ukitaka pata ela wekeza vya kutosha kwenye kazi unauofanya na ndivyo anavyofanya diamond anawekeza sana kwenye kazi ndio maana anakwambia haoni hatari gharamia kazi yake