miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mbona unahasira sana na huyu dogo? Sounds like #¤%^&@$,manaake wanamwita sukari ya warembo huyu.
wamemsema kuwa yuko kwenye kashfa ya "sembe" angefanya kimya kimya, baraka za mzee Gurumo zingefika tu sio lazima magazeti, sasa watazidi kumuandama, tena ukizingatia hiyo ufunguzi kafanya event yote kwa gharama zake..... ila its good kamkumbuka mzee wa watu kuliko sisi wengine tunatoa sifa za mdomo tu.
Hata mimi nasikia wanamwita sukar ya warembo......wala hatufahamiani!!!! Salamander
Ila kuna baadh ya vitu naviangalia kwa jicho la tofauti sana katika hili,je ni wazee wangap katika sanaa na mambo yanayohusu haya wapo katika hali hiyo na wengine zaidi ya hapo.
Mzee huyu kaelimisha jamii pamoja nakutumika sana na serikali hii kama anavyotumika aliyempa gari........tufike mahali tuangalie msanii ananufaika vip na mziki wake na ikiwezekana awe kama mfanyakaz ambae mwisho wa siku atapata kiinua mgongo na si kama hal ilivyo sasa.
Gari kampa sawa lakin jiulize uendeshaji wa gar/kuhudumia kwa mtu aliyeshindwa hata kununua baiskel si matusi hayo???......Watanzania wanapenda sifa za msiba wakat mgonjwa walikuwa hawaend kumuona!!!!!!
duh Tanzania kwel ni zaid ya niijuavyo..hawanaga shukran kabisa..so ulitaka awanunulie wazee wote na hizo gharama zingine amfanyie zote?we umetoa mchango gani?or hao wasanii wengine wametoa mchango gani kwake?
Jamani kaguswa na mzee ambaye walikuwa kwenye fani moja whats wrong with that? Hebu mbona nyie mmeshindwa hata kumkatia bima ya afya? Mwenzenu kaamua kushare mafanikio yake na Gurumo. Hebu tuacheni kuwa mahaterz ah..............
hata mgurumo alikuwa ngurumo kweli kwel alitesa tena sana huku msondo wakitisha sio kuwa hakupata pay ya kutosha ni ujana mbaya kama vile waigizaji,wanasoka au wanasiasa wa tz.utavuma ila utafulia tu hakuna mipango endelevu.hata diamond ataomba tu.
Gari ya aina gani?
Umbulula huo.....huyo mtoto sifa zitammaliza tuuu hajui afanye lipi kwa wakati gani.
gari anunue yeye, kumzawadia amzawadie yeye, mapovu yawatoke nyie....majangaaaaa ona majangaaaa