Aliyeanza kufanya Video nje ya nchi na hasa South Africa ni AY unaikumbuka ile nyimbo ya Party Zone?? Hivi hiyo na Number one imetangulia kutoka? Mr Blue pia alishawahi kufanyia Video S.A kitambo Ray C alishawahi kufanya Video China kitambo sana kabla hata diamond hajatoa Kamwambie Mac Mugan ya Ally Kiba kama sikosei nayo imefanyiwa nje ya nchi nadhani ni nyimbo nyingi video zake zimefanyika nje ya nchi kabla ya hiyo no1 AY nadhani ana video zaidi ya 3