😂😂😂😂😂hao walikua washamalizana muda mrefu ni vile tu walitafuta njia ya kuujulisha umma, we unaona baada ya post ile mimi mars amekua akishusha mistari ya maandiko as if ni mtu wa dini sana, inshort wametumia mbinu za kijanja sana kuujulisha umma mahusiano yao
Wasalaam wana Jamvi!
Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”.
Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....
Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!
Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....
Hongera sana Mimi Mars!
Hela+Plus umaarufu=Ulimbo wa walembo.expand...
Hahahaaa Nimekuelewa sn mkuuRoho imeniuma sana
🤣🤣🤣🤣🤣Roho imeniuma sana
Sure thing mzee katika vifaa vyakutulia navyo ni mimi marsIla Mimi Mars Ni kifaa aisee ningekuwa Ni staa ningeanza na huyu demu anafaa kwa matumizi ya binadamu hata kuoa kabisa.
Ulikua unamtaka wewe mkuu?Roho imeniuma sana
Yani mim kama wew hapa roho imeniuma kwakwer yni mbele ya pesa akuna kinachoshindikanaRoho imeniuma sana
Marioo ndo alikua anakula mzigoIna maana pamoja na urembo/uzuri/ulimbwende wa Mimi mars wote huo hakuwaga na njemba yeyote kabla ya hio promo ya mondi??
Alikua anatumia dildo ama vepe
usione vyaelea ujuee....Ila Mimi Mars Ni kifaa aisee ningekuwa Ni staa ningeanza na huyu demu anafaa kwa matumizi ya binadamu hata kuoa kabisa.