Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,372
- 18,700
🤣😂🤣😂😂Nyonya DamuNaye kamlipa Diamond kiasi gani?
Kumlipa nini?Naye kamlipa Diamond kiasi gani?
Biashara mezani kwa hio ajitoe afanye Baishara nje ya mfomo wa DabliyucbeMbosso Kila laheri
FreeNaye kamlipa Diamond kiasi gani?
Aah wapi!Mbosso ataweza kweli?
Sasa yeye si anabaki na 300M mbona ni nyingi tu!Ila ujio wa digital platforms unawalipa sana wasanii, watu wanatengeneza mamilioni ya fwedha.
Unakuta umeingiza 500M kwenye digital platforms halafu label inasema utoe 40%, hapo ndipo vijana wanaamua kuaga... hahahh
WCB ni 60%Ila ujio wa digital platforms unawalipa sana wasanii, watu wanatengeneza mamilioni ya fwedha.
Unakuta umeingiza 500M kwenye digital platforms halafu label inasema utoe 40%, hapo ndipo vijana wanaamua kuaga... hahahh
Hata hizo yeye si anabaki na 200M nazo bado ni nyingi tuWCB ni 60%
hapo kwenye 200M kuna watu wake anawalipa yeye sio WCB nadhan hasa kwenye kuandaa video utajikuta unabak na 100MHata hizo yeye si anabaki na 200M nazo bado ni nyingi tu
Bado ni nyingi tu!hapo kwenye 200M kuna watu wake anawalipa yeye sio WCB nadhan hasa kwenye kuandaa video utajikuta unabak na 100M
We ungekubali ukatwe milioni 200 ubaki na hizo milioni 300.Sasa yeye si anabaki na 300M mbona ni nyingi tu!
Kwa maisha ya wasanii ni hela ndogo lakin kibongo bongo ni hela kubwa sanaBado ni nyingi tu!