Mi naona ameongea ukweli tupu. Ni vizuri tujadili hoja ya ''tumewajengea shule wameshindwa kuziendeleza'' kuliko kumjadili yeye yuko kambi ipi.
Ukweli ni kuwa alikuwepo serikalini wakati ujenzi wa shule unaanza na akaondoka wakati shule zinatakiwa kuendelezwa. To me yuko sahihi kabisa, shule za kata hazijaendelezwa kabisa baada ya kujenga zile FOUR WALLS