Hii ni moja ya kozi ambazo watu bado ni wachache, sasa hata hospitali binafsi wanahitaji, usilale nyumbani hata kwenye hospital za wahindi kafanye kazi, hospitali za wilaya nyingi tu zinauhitaji, wewe sikilizia tu wizara ya afya ikitema, uwe tayari kwenda serengeti au huko ndani ndani, maslahi Utapatapata tu.