Hatua ya mwanzo ya kufanya marekebisho, 'Reform' Samia alikaidi, alidharau, alighaili; ikapita.
Sasa tunaelekea kwenye hatua ya pili ya kutokuwepo uchaguzi, 'No Election', hapo Oktoba 29.
Sasa tutaanzia wapi kuulizana maswali wakati kila kitu kilikuwa wazi toka mwanzo?
Uchaguzi wa viongozi wa nchi yetu siyo jambo la mzaha mzaha, ambalo mtu yeyote anaweza kulifanyia mchezo kwa sababu yoyote ile, ni swala zito sana.
Hii ni HAKI ya waTanzania wote wenye sifa kushiriki bila ya vikwazo au njama zozote katika kuwachagua viongozi wanaowataka wawaongoze bila ya kuingiliwa uhuru wao na haki yao ya kufanya hivyo.
Samia na wenzake wameamua, tena kwa maksudi kabisa kudharau matakwa haya na kutengeneza njia ya wao kubaki madarakani kwa nguvu; kwa kukataa kufanya marekebisho ya sheria ambazo zingeruhusu uchaguzi uwe wa haki na huru.
Sasa tunaelekea kwenye kilele cha uchafuzi uliopangwa kuwabakisha madarakani bila ya ridhaa ya waTanzania, hapo Oktoba 29.
Ni wajibu wa kila mTanzania, mwenye mapenzi mema na taifa hili kujitokeza na kuzuia uhalifu huu unaofanywa na watu ambao hawaitakii mema nchi yetu..
Ni wajibu wa kila mmoja wetu kuzuia uhalifu huu, kwa kuzuia kwa kila njia mwonekano wa kupiga kura utakao wahalalisha wahalifu hawa kubaki madarakani kwa nguvu.
Tuzuie uhalifu huu kwa njia zote zitakazo wezekana huko mitaani na kwenye vituo vya kupigia kura na kushiriki kwenye maandamano kupinga uharamia huu.
OKTOBA 29...NO ELECTION. UCHAFUZI HAURUHUSIWI.