Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na nimempa adress ya huku niliko yaan Songea!
Tafadhari msaada wenu wadau!