Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 203
Ndugu zangu nilijiunga zuku na kununua kingamuzi nikidhani wanafaa kama wanavyojitangaz,kwa kweli huduma zao ni mbovu na zimejaa madharau,wakenya wanaofanya kazi ya customer care hawajui kuongea na Wateja vizuri,Leo ni siku ya NNE tumelipia kila tukipiga ili watuunganihe tunaishia hewani hawapatikani,simu zinakatwa tunazungushwa na hatujui sababu,naombeni ushauri tufanye nini huu ni uhuni usiovumilika.