Dharau kwa Katiba na Mahakama: Esther Matiko alikuwa mwanachama wa CCM tokea Julai 2022

tarimemjini

Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
71
Reaction score
142
Nimesikitika sana leo kupata taarifa za kadi ya uanachama ya Esther Matiko aliyopokea mwaka 2022.

Tukumbuke mwaka huu Esther na wenzake 18 walikuwa mahakamani kupambania uanachama wao wa Chadema.

Huku wanakula kiapo mahakamani kama wanachama wa Chadema kumbe mfukoni wana kadi za CCM.

Esther Matiko na wenzake waliapa kulinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku wakiidharau na kuikanyaga kwa makusudi.

Mwaka 2023 Mahakama iliwapa ushindi kuwa wanastahili kuendelea kuwa bungeni kama wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendele Chadema huku kumbe mfukoni ni wanachama wa CCM.

Hili jambo kikatiba na kisheria likoje?

Je kimaadili na kikatiba mtu huyu hastahili kufunguliwa mashitaka na kurejesha pesa alizopokea miaka yote kama mshahara na posho huku akijua yeye tayari sio mwanachama wa Chadema?

Kupata taarifa za kadi ya Esther Matiko ingia kwenye application ya CCM ifuatavyo;

Username ni: C000301826081

Password ni: matiko

NB: nimeattach hapa picture za screen shot za kadi ya Esther Matiko.

Screenshot_20250710_131821.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20250710_131807.jpg
    Screenshot_20250710_131807.jpg
    252.7 KB · Views: 18
Nakala kwa Salum Mwalimu na Maulida Anna Komu.
 
Nimesikitika sana leo kupata taarifa za kadi ya uanachama ya Esther Matiko aliyopokea mwaka 2022.

Tukumbuke mwaka huu Esther na wenzake 18 walikuwa mahakamani kupambania uanachama wao wa Chadema.

Huku wanakula kiapo mahakamani kama wanachama wa Chadema kumbe mfukoni wana kadi za CCM.

Esther Matiko na wenzake waliapa kulinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku wakiidharau na kuikanyaga kwa makusudi.

Mwaka 2023 Mahakama iliwapa ushindi kuwa wanastahili kuendelea kuwa bungeni kama wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendele Chadema huku kumbe mfukoni ni wanachama wa CCM.

Hili jambo kikatiba na kisheria likoje?

Je kimaadili na kikatiba mtu huyu hastahili kufunguliwa mashitaka na kurejesha pesa alizopokea miaka yote kama mshahara na posho huku akijua yeye tayari sio mwanachama wa Chadema?

Kupata taarifa za kadi ya Esther Matiko ingia kwenye application ya CCM ifuatavyo;

Username ni: C000301826081

Password ni: matiko

NB: nimeattach hapa picture za screen shot za kadi ya Esther Matiko.

View attachment 3405846
Kataa wahuni
 
Ashtakiwe mahakamani kwa kukiuka katiba
 
Back
Top Bottom