Ndugu wana Jamvi!
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima na Baraka zake Alah zi pamoja nasi.
Baada ya salamu nirudi kwenye topic.
Nimekuwa nikiona/kusikia juu ya neno Handsome liokitumika kama sifa kwa vijana wa kiume,sasa napata wakati mgumu kujua vigezo vinavyotumika katika kujua mtu/kijana fulani ni Handsome,je;
1.uzuri wa sura.
2.usafi wa mtu
3.vyote viwili yaani uzuri wa sura na usafi wa mtu?
4.umbile (physical appearance)?
Au kuna vigezo tofauti na hivyo ambavyo hutumika?