Unaonekana kuchanganya concepts. Kuna tofauti kubwa kati ya Rais mtarajiwa na Rais mteule!Neno raisi mtarajiwa ni neno ambalo mara nyingi humaanisha mtu ambae kwa walo wengi wategemea yeye ndie awe raisi hivi karibuni, hata kama bado hajaapishwa au kuchukua majukumu ya kiofisi. Lakini si cheo rasmi lakini kisiasa au kiuandishi wa habari neno hili lina maana sana.
Baada ya uchaguzi raisi mtarajiwa ni mgombea ambae ameshinda na asubiria tu kuapishwa na huyo huitwa raisi mtarajiwa.
Lakini katika siasa za Dunia na khasa katika nci hizi za kwetu raisi mtarajiwa awezakuwa ni yule aneonekana ndiye mrithi anefaa kukalia kiti hicho hata baada ya uchaguzi khasa pale ambapo chama kinotawala kinapoona upo umuhimu huo na pia kama panakuweposintofahamu kubwa kufuatia matukio makubwa yanotikisha nchi.
Raisi mtarajiwa ni neno linobeba matarajio kwa mtu ambae aonekana ndiye mwenye nguvu zaidi na ushawishi hata kama upo utaratibu wa kikatiba kisheria wa kuapishwa.
Hapa Marekani, makamu wa raisi JD Vance ndiye anetarajiwa kumrithi raisi Donald Trumo endapo hali ya kiafya itakuwa si nzuri zaidi au akiamua mwenyewe kuachia madaraka. Vyombo vingi vya habari zimekuwa vikiripoti kwamba mara kadhaa raisi Trump amekuwa akipoteza malengo au kutotilia maanani masuala fulani yanokuwa yakijadiliwa kwenye vikao mbalimbali.
Masuala mengine yanomweka makamu wake DJ Vance katika nafasi ya kupokea kiti cha uraisi wa Marekani ni hali ya kisiasa khasa pale raisi Trump atoapo kauli nyingi tata na zinoonekana zimekosa mwongozo mzuri na wakati mwingine kupuuza ushauri wa wasaidizi khasa wale wanoshauri kuhusu namna ya kuwasilisha ujumbe.
Raisi mtarajiwa pia huweza kushika madaraka endapo raisi alieshinda kwenye uchaguzi atakuwa azidi kupoteza imani na kuzidi pia kutojiamini katika masuala khasa ya kujenga hoja dhidi ya wapinzani au wahasimu wake.
Nini maoni yenu?
Anaitwa Rais Mteule (President Elect) sio Rais MtarajiwaBaada ya uchaguzi raisi mtarajiwa ni mgombea ambae ameshinda na asubiria tu kuapishwa na huyo huitwa raisi mtarajiwa.
Anaitwa Rais Mteule (President Elect) sio Rais Mtarajiwa
Lakini kama ukitumia mfano wa makamu wa Donald Trump bwana DJ Vance makamu si ataitwa mtarajiwa au "president in waiting"?Unaonekana kuchanganya concepts. Kuna tofauti kubwa kati ya Rais mtarajiwa na Rais mteule!
Unalenga nini? Kwamba unaona kama Bongo ikitokea TENA?Lakini kama ukitumia mfano wa makamu wa Donald Trump bwana DJ Vance makamu si ataitwa mtarajiwa au "president in waiting"?
Nimerekebisha kidogo maneno kwenye mada ili ieleweke.
Yes why not, inaweza kutokea nani alitegemea Samia atakuwa rais.Unalenga nini? Kwamba unaona kama Bongo ikitokea TENA?
Hapana.Unalenga nini? Kwamba unaona kama Bongo ikitokea TENA?
Mbona nazungukia mbali sana, juzi tu hapa Tz Magufuli kafa Samia karithi.Hapana.
Marekani mwaka 1974 raisi Richard Nixon aliekuwa raisi wa 37 wa Marekani alijiuzulu baada ya kashfa kubwa iloitwa Watergate ikiwa ni baada ya majaribio mengi ya kuficha ushahidi na kuzuia uchunguzi.
Gerald Ford akateuliwa kuwa makamu wa raisi na baadae akawa raisi wa 38 wa Marekani. Huyu ndie raisi pekee wa Marekani ambae hakuchaguliwa kuwa raisi bali kupandishwa moja kwa moja kuwa raisi.
Mara baada ya kuwa raisi Ford akatoa msamaha wa raisi kwa Richard Nixon.
Hapana, Samia alikuwa makamu wa hayati JPM na walichaguliwa wote na kuapishwa.Mbona nazungukia mbali sana, juzi tu hapa Tz Magufuli kafa Samia karithi.
Mkuu... kwa hali ya Bongo sasa hivi, uwezo wa kibibi chetu, na kitu baadhi ya watu wanahisi ni mpasuko tayari kati yake na makamu, hata mimi sipingi.Yes why not, inaweza kutokea nani alitegemea Samia atakuwa rais.
Ipo shida au Power Struggle.Mkuu kwani kunani mbona ghafla Sana ,??
Pamoja na hilo. Binafsi nashindwa kujuwa mkuu 'Richard' kalenga nini hasa kwa mada yake hii.Unaonekana kuchanganya concepts. Kuna tofauti kubwa kati ya Rais mtarajiwa na Rais mteule!
Na hata kama maana yake ndiyo hiyo; Oktoba 29 2025 hapakuwepo na uchaguzi.Richard najua unazungumzia Makamu wa rais kama rais mtarajiwa na sio rais mteule ambaye hajaapishwa, naona kama umewachanganya watu kidogo,
Mkuu, kesi ya ICC ipo mezani kwao na wao wangojewa watoe neno maana hadi leo hawajatoa kauli rasmi.Pamoja na hilo. Binafsi nashindwa kujuwa mkuu 'Richard' kalenga nini hasa kwa mada yake hii.
Badala yake kanikumbusha nimuulize ile kesi aliyopeleka kule ICC imefikia wapi; kuna mrejesho wowote hadi sasa?
Speech ilitoa ushahidi kwamba:-Ipo shida au Power Struggle.
Kuna mambo mtu mzima ukiambiwa waharibu yakupasa uketi ujitafakari na ujipange upya.
Ile "speech" ya jana ni mbaya sana.
Siamini kama mzee Tido kashiriki kuandaa ile.
Makamu wa raisi wa Richard Nixon alikuwa Spiro Agnew alikuwa na asili ya Ugiriki. Huyu mjamaa akiwa makamu wa raisi alipokea rushwa zaidi ya dola laki moja na akashtakiwa mahakamani.Sasa!!?yule mgombea mwenza yaani makam wa Rais wa Richard nixon kwanini hakuapishwa kuwa Rais!!?kwani alijiuzulu na Rais wake ya huyo nixon!!?
Hebu nieleweshe vizuri hapo!