Manasse
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 352
- 241
NILILALA MASIKINI NA KUAMKA TAJIRI
*Awamu ilopita watanznia wengi sana tulikuwa tunaishi kwa matumaini makubwa sana kuliko uhalisia. Mtu hana hata pesa ya mlo mmoja tu lakn aliamini ipo siku ataendesha gari na kukaa kwenye viti virefu plus watoto wazuri wamemzunguka.
*Ni kweli matumaini yale yalitimia kwa watu wengi lakn si kuzidi idadi ya watz bali wachache ambao walipata channel za kifisadi wakatoka huku wengine wakiendelea kuumia kwa huduma mbaya za kijamii.
MAISHA YA NCHI ZA MAGHARIBI.
*Hakuna mtu anayeweza kulala masikini akaamka tajiri hata kama anafanya kazi na analipwa vizuri.Nchi za wenzetu hata kama wewe ni mwanamitindo, mwanamichezo ama unafani yoyote ile kubwa, bado huwezi kulala masikini ukaamka tajiri, ni lazima kwanza ufanye kazi kwa kutumia njia zako kisha ile pesa ipite kwenye mzunguko mkubwa wa watu ndio uwe tajiri. Hata hivyo mpaka kufikia kuwa tajiri si jambo la miaka miwili. Hii ni tofauti na tz mtu kalala masikini na kuamka tajiri kutokana na misingi ya kifisadi.
MFANO.
David Bekham, C.Ronaldo, Lionel messi, R kelly na wengineo wengi tu kama hao, wamesota sana kufikia walipo. Sio kwmba vipaji vyao viliwatoa tu bila kufanya kazi ama waliamka wakawa matajiri na walilala masikini, no no no, walipiga kazi na kuwazalishia wengine, walozalishiwa wakalipa mishahara na kodi nyinginezo, mwisho wa siku ile pesa ikarudi kwny chanzo ambacho pia kiliisambaza ile pesa kwa mfumo wa kufanya kazi.
TATIZO LA TANZANIA.
*Wajasiriamali/wafanyabiashara na wafanyakazi wengi mafanikio yao mengi hutokana na njia zisizo halali. Mafanikio ya wengi hayana uwiano na jasho lao ndiyo maana wamekalia dharau na kuwaona wengine hawana akili.Wengi ni wezi, wakwepa kodi, watakatishaji fedha yani wanapata pesa kwa njia haramu na kuingiza kwny mzunguko halali, haya yote ndiyo yanayowafanya walale masikin na kuamka tajiri.
*Pesa yoyote ile unayoipata kihalali ni lazima utakuwa umeifanyia kazi kihalali na pia itakuwa imetoka kwny mzunguko mrefu.
Pesa isiyo halali hutoka kwny mzunguko mfupi na usio halali na wakat mwngne inawezekana hujaizungusha ila umeichukuwa tu kutoka kwny wizi wa makontena yasolipiwa kodi na kuiweka mfukoni mwako kisha ukampa fundi akujengee nyumba yako.
WATANZANIA WAVIVU.
*Dhana hii ni potofu ambayo imetengenezwa na mafisadi eti sisi wavivu. Pesa ikipatikana pasi na uhalali kama ufisadi ama utakatishaji fedha kama kuuza madawa na kadharika, inakuwa haijazunguka ipasavyo, hivyo basi inafaidisha wachache na kuumiza wengi. Pesa ilitakiwa ipite vituo vitano kutoka chanzo kukufikia wewe cha ajabu inapita kituo kimoja tu, je unategea hawa ilowaruka wataonekana watendaji?.
AWAMU YA5 MH. JPM
*Kama ataendelea na kasi hii, naamini baada ya miaka miwili tangu leo watanzania tutaishi maisha mazuri kwani kila atakayefanya kazi ni lazima atapata pesa tofauti na awamu ya4 ambapo hata ukifanya kazi pesa hupati na ukiipata inamezwa na mfumuko wa bei.Hii ilisababishwa na kukithiri kwa ufisadi kiasi kwamb pesa ilishikwa na watu wachache ambao pia waliipata kabla haijazunguka.
*Tumuombe mungu mh. Rais JPM aendelee na kasi hii ili mifumo ya vyanzo kiuchumi itengenezwe kuleta tija na mafanikio kwa taifa letu, pia tuheshimiane kwa kila mmoja kupata mafanikio kwa kufanya kazi na si kulala masikini na kuamka tajiri. Kama mh. JPM ataendelea na kasi hii, kwa wale wanaojituma watapata matunda yao na kufikia malengo yao kwani mambo mengi tutayapanga kwa nafasi zetu na yatatoa matunda coz misingi itakuwa imehimarishwa kwa serikali na sekta binafsi.
Japo wapo watu ambao wamejitoa akili na kutoona utendaji wako lakn mimi naungana na watu wachache kukuombea wewe mh. Rais Dk JPM na serikali kwa ujumla ili uendelee na kasii hii kutuletea watanzania maendeleo ya kiuchumi na huduma nzuri za kijamii.
Nb: Taifa lililojaa ufisadi haliwez kuendelea.
Mungu ibariki tanzania.