Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 278
[emoji22] [emoji27] [emoji27] [emoji22] [emoji27] [emoji27] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]kuna mzee nilimtukana kwa kutumia ulimi,namshukuru mungu,amenipa ulimi maana kama sio ulimi nisingeweza kufikisha hisia zangu kwake,sijuti kumtukana na wala sintokuja kujuta mpaka nakufwaaa,
Kuna kipindi kilirushwa na radio fulan aliyekuwa anahojiwa alisema misukule wanazaa na watoto wao wakiwa wachanga kabisa wanawekwa kwenye chungu wanakaushwa ili kupata mafuta ambayo ni muhimu sana kwa shughuli za kichawi. Inasikitisha sana binadamu kuwa na ukatili kiasi hiki...Msukule kabla ya kukatwa ulimi huweza kurudi katika hali ya kawaida kinyume chake ni ngumu
Kuhusu uzazi jibu ni hapana lakini nitalitafiti zaidi hili
Halafu tunawaita wanyama hayawani huku binadamu akiitwa kiumbe aliyestaarabikaKuna kipindi kilirushwa na radio fulan aliyekuwa anahojiwa alisema misukule wanazaa na watoto wao wakiwa wachanga kabisa wanawekwa kwenye chungu wanakaushwa ili kupata mafuta ambayo ni muhimu sana kwa shughuli za kichawi. Inasikitisha sana binadamu kuwa na ukatili kiasi hiki...
Mshana hebu mwaga madini kidogo kuhusu hili. Maana najua huko uko so deepUnajua tafsiri na nguvu ya namba saba?
Mshana Chief,Unajua tafsiri na nguvu ya namba saba?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] kwanini nduguMshana Chief,
Huu ni msemo wa kifaransa kuwa kabla hujasema lolote hasa ukiwa na hasira zungusha ulimi kinywani mara saba, sasa unanitisha sheikh wangu, hii ilmu yako mimi simooooooo
Ili kama unataka kusema neno baya kwa ghafla unahairisha, ni sawa na misemo ya kiswahili, kuwa ulimi ni mdogo lakini madhara yake ni makubwa, au neno likishatoka huwa huwezi kulifuta[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] kwanini ndugu
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji779] [emoji115]Ili kama unataka kusema neno baya kwa ghafla unahairisha, ni sawa na misemo ya kiswahili, kuwa ulimi ni mdogo lakini madhara yake ni makubwa, au neno likishatoka huwa huwezi kulifuta