Dhana ya kuongeza size ya "Mkuyenge" ukweli ni huu

Vp alipomaliza ku do nako alikuja kukueleza na shemeji vp halalamiki tena kwako??
 
Ni kwamba maisha yamekuwa magumu kiasi cha kufikia kuwa tapeli?
Naona unaanza kutafuta fursa na kutapeli watu. Anyway utawapata wajinga wachache
 
Alikuwa na micropenis na sio kibamia..

Kibamia unashindwaje kugegeda??
 
Inamaana kibamia cha jamaa kilikuwa kidogo kiasi kwamba hata kuchovya tu juujuu ilikuwa ngumu?
Nami ndo nlitaka kuuliza,au jamaa hakuwa na nguvu za kiume kabisa? Mana kama hicho kibamia kinasimama tatizo nini mpaka alikuwa anashindwa kula papuchi?
 
Sometimes in Life tunakutana na Marafiki wa kufa kuzikana huwa nikitafakari baadhi ya Marafiki nilonao tunapita katika magumu lakini tuko pamoja ina leta faraja sana. Well done broo
 
Tehteh mtuhumiwa kulikua kuna haja gani ya kumuandaa shaidi na id yake kabla hujatakiwa kufanya hivyo?.
 
Mkuu niko na shida na mawasiliano yako tafadhali naomba nisaidie
 
Nimegundua stori yako ni Either
1.Chai au
2. Ni tangazo
Kwasababu moja tu ya kuhusisha kuongezeka huko kwa maumbile na swala la kutingisha mimba. Kitu ambacho siyo kweli.
 
Raia wako busy kulainisha vyuma vilivyokaza
mambo ya mikunyege hiyo we kaa na dawa kwanza subiri uchaguzi uje na upite nadhani watakutafuta wateja
we endelea ku update uzi tu
ha ha ha ha
 
....Ni wachache sana wanahodhi vyote, cha msingi ni kuridhika na maumbile yako as long as haukujiumba. Mfano ukiwa na kile mnachokiita 'mikuyenge', una lack uhendisamu. Ukiwa tall, kichwa kama boga. Ukiwa mfupi, unatamani urefu, mrefu anaenjoy urefu lakini sura kama bumunda. Au ni mrembo binti, lakini hajui mambo ya kuolewa. Kimsingi, mambo haya yameanza sasa sie enzi ndoa ilikuwa mahsusi kwa ajili ya heshima ya kuzaa tu. Na sio tendo lenyewe la ngono. Sie hata romance ndo tumeikuta kwa nyie vijana wa sasa. Zamani unaoa kitu sealed, unafungua mwenyewe makasha. Mambo za eti ana bwawa ni usasa wenu. Hembu tuwaache na usasa wenu. Mama vikao hembu funga mlango tulale(just kidding mie wa rika lenu hahahahaha!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…