Sasa hivi ukiwa mkurugenzi,kamishina,mtendaji mkuu ujiandae kukumbwa na kimbunga cha hapa kazi tu. Ni kimbunga cha aina yake kinachoacha na kitakachoacha kilio cha wakubwa hawa.
Vile kimbunga cha hapa kazi tu kimewaacha watu hoi,wakiwa na maswali mengi kuliko majibu. Hawa si wengine ni wale waliokuwa mawaziri wa awamu ya nne.
Akiwemo,Hawa Ghasia,Sofia Simba,Mary Nagu,Nyarandu,Steven Masele,Asha Rose Migiro,Shukuru Kawambwa nk hawa wanaisoma namba kiaina yake,inawezekana wana maswali mengi kuliko majibu.
Hapa hatubebani kama viazi kwenye tenga,hufai,mzigo kaa pembeni,huna tija for public importance.
Rais aendelee na kazi ya kutumbua majipu,majipu ya sasa ni dagaa tu.
HESLB,TANESCO,TAA nk nao wajiandae ktumbuliwa. Naona TANESCO wameanza kujihami kabla ya kimbunga.