Taste-Tester
Member
- Mar 13, 2014
- 8
- 0
kunywa kila siku maji ya ndimu au limau kila asubuhi unapoamka ndio itakusaidia unavyoataka sio kutia kwenye chai.Amani iwe nanyi...
Mara nyingi nimekuwa nasikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa utumiaji wa Ndimu au Limao iwe kwa kuweka kwenye chai au kwa kuikamua na kisha kunywa maji yake husaidia kupunguza uzito, je, kuna ukweli wowote au ni dhana ya kufikirika tu?
Nawasilisha
Ingia road kimbia wewe acha uvivu?.,
Amani iwe nanyi...
Mara nyingi nimekuwa nasikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa utumiaji wa Ndimu au Limao iwe kwa kuweka kwenye chai au kwa kuikamua na kisha kunywa maji yake husaidia kupunguza uzito, je, kuna ukweli wowote au ni dhana ya kufikirika tu?
Nawasilisha
Kwa hakika ni kweli. Mimi ni mtumiaji wa kila siku wa limao angalao kipande kimoja matokeo yake ni mazuri sana. Achilia mbali kusaidia kupunguza uzito, limao lina vitamini C kwa wingi sana na husaidia sana mwilini katika yafuatayo:
1. kusaidia blood clothing, huimarisha mishipa ya damu na quality ya damu na kuzuia madhara kama kuvuja damu ndani kwa ndani
2. kuimarisha fizi za meno na kuzuia meno kutoka damu
3. ukila limao wakati tumbo lipo tupu husaidia sana kupunguza unene. Kwa matokeo mazuri kamua limao kwenye glasi halafu ongeza maji ya moto/vuguvugu na kunywa asubuhi na jioni
4. Kunywa juici ya limao baada ya kula husaidia sana digestion na kufanya choo kizuri
5. limao linarekebisha pH ya damu vizuri sana na kila wakati baada ya kunywa juice ya limao utajisikia vizuri sana
6. limao lina antioxidants kwa wingi na hizi husaidi mambo mengi mwiling ikiwa ni pamoja na kuzuia kuzeeka hovyo na kuongeza maisha
Watu wengi hawafahamu umuhimu wa limao tafadhali wafamisheni

Tezi Dume Je, Lina Tibu Pia?