Dhambi ambayo zaidi kuliko zote baada ya UOGA, basi dhambi inayofuata ni USALITI.
ASKOFU ALEX MALASUSA WA KKKT na DADY IGOGO WA CHADEMA wote wamezinyea kambi zao. Mwacheni [HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] wetu alie juu ashughulike nao kwa vitendo mmoja baada ya mwingine.
Nini maoni yako Mtanzania mwenzangu??