Kwa mfano ingekuwa ni make wako kuchepuka na ukajua fika uyo mtoto wa mwanaume mwenzio na mtoto unamuona ungeendelea kuishi naye kwa amani au ungeshamfukuza kabisa??? Vaa viatu vya mwenzio usikilizie
We acha atukane tu baba..ni haki yake. Hakuna mtu yeyeote angekuwa tayari kufanyiwa kama ulivomfanyia...we vumilia tu maana ndo matunda ya ulichopanda.