Hata kama ulikuwa hujui kuongea yakikukuta utaongea tu[emoji24] [emoji24] [emoji24]Na wanawake tunaongea sana tena sana na hyo ndo itakua point ya kukukandamiza anyway pole
Amelitaka mwenyewe. Apambane nalo tu. Huwez mtendea mtu ubaya ukatarajia mazuriKusahau ni ngumu sana, na kama umempenda mtu kwa moyo wote na uaminifu halafu anachepuka na kuzaa kabisa mtoto inauma sana yeye avumilie tu matusi hakuna namna
Bora hata anayeongea nwingine angeamua kulipiza kisasi tuNa nnaipata joto ya jiwe
Miaka mitatu? mbona michache?? Hata ingekuwa wewe ndo umechapiwa halafu ukaletewa na mtoto wa mwanaume mwingine usingeweza kusahau kirahisi tena within 3 years. Jaribu kujiweka kwenye viatu vya huyo mke wako, then you can feel the pain.Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. nimechoka kujishusha kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa
Nawasilisha
Umeona eee, mtu upo naye anaenda zaa huko , kusema ukweli hizo ni dharau kubwa kupita kiwango cha lamiMiaka mitatu? mbona michache?? Hata ingekuwa wewe ndo umechapiwa halafu ukaletewa na mtoto wa mwanaume mwingine usingeweza kusahau kirahisi tena within 3 years. Jaribu kujiweka kwenye viatu vya huyo mke wako, then you can feel the pain.
We kwanza umshukuru tu mpaka Leo Yuko na wewe! Jifunze!.
Kwa mfano ingekuwa ni make wako kuchepuka na ukajua fika uyo mtoto wa mwanaume mwenzio na mtoto unamuona ungeendelea kuishi naye kwa amani au ungeshamfukuza kabisa??? Vaa viatu vya mwenzio usikilizieHeshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. nimechoka kujishusha kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa
Nawasilisha
Halafu wakitoka hapo kutukana single mother unajiuliza walizaa na kina nani?Nyie ndo mnaoongeza singo moms mtaani. Kama ulikuwa bado kulidhika na mwanamke mmoja kwa nini ulioa!? Mwache aongee tu hata miaka 30 ijayo
Na imagine ingekuwa mwanamke ndo amezaa nje km angesamehewaUmetongoza, umefanya nje mpaka kuzaa (with all family planning methods? u cant even pull out?) dude inauma maumivu yake ni balaa ukifanya kosa unatonesha kidonda.
Vumilia tu maana kukubali kuendelea kuishi na wewe kaonesha ukomavu wa hali ya juu.
Ushauri ni avumilie tu matusi hakuna namna
Wapi hiyo utaipata kwanza humu watu wangetukana wanawake woteNa imagine ingekuwa mwanamke ndo amezaa nje km angesamehewa
Kumuacha fikra hazjaja..... Ila anatukana sana asee nafeel mnyonge mda wote.........kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
JE, KWA SASA UWEZI PIA KUMWACHA? MAANA MTOTO NI MKUBWA, IWAPO UNAONA KERO KWAKO.
Na usifikirie kabisa kumuacha, akianza kutukana mwambie hayaishi tu Mungu asingekuwa anatusameheKumuacha fikra hazjaja..... Ila anatukana sana asee nafeel mnyonge mda wote
Anazingua, kuchepuka mpaka unaamua kuzaa kabisa hizo n dharau za hali ya juuu...ina maana anamwamini sana mchepuko had wanaenda bila kinga na ana mke ndani. This is madnessUmeona eee, mtu upo naye anaenda zaa huko , kusema ukweli hizo ni dharau kubwa kupita kiwango cha lami