Dhambi kubwa unayoijutia

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
775
Habari ndugu,

Hebu tuambiane leo humu ni dhambi gani kubwa ambayo unajuta kuifanya.
 
hapo kwenye dhambi me sielewi ila kujuta never ever naamini katika uwezo wa kufikiri.
 
yangu ningeiweka hapa ila naogopa wengi wataiga kuifanya maana ilikuwa tamu sana, najutia japo natamani kuirudia tena na tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…