Dhambi Kubwa Kuliko Zote Mwaka 2015

Dhambi Kubwa Kuliko Zote Mwaka 2015

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari wakuu!!

kuikweli na tena naamini kuna wenzangu watanielewa sana nikiandika hivi::

::😀hambi yangu kubwa mwaka 2015 ingekuwa kutokuwa na shukrani kwa Mungu. Ahsante Mungu kwa neema na baraka zako mwaka 2015.

....Ukiona moyo wako ni mzito sana kumshukuru Mungu kwa yale aliyokufanyia mwaka huu 2015 basi jua umetenda dhambi kubwa kuliko zote...

bampami nawatakieni kila la kheri tunapoelekea kumaliza mwaka huu 2015..Ni kwa NEEMA tu ndugu zangu tumepewa na Mungu kufika tarehe hizi.

cc Kongosho Evelyn Salt sokwe Yericko Nyerere Maxence Melo Pasco Mzee Mwanakijiji mshana jr
 
Last edited by a moderator:

bampami asante sana kwa kutukumbusha hili... Post iko so tricky nilitaka kusema mengine
 
Last edited by a moderator:
Nawe pia sikuKuu Njema na Maandalizi Mema ya Mwaka unaokwenda Kuanza
 
Dhambi kubwa duniani ni kumnyima haki somebody X na kumpa somebody Y hasa kwenye mambo yenye public interest hayo ndo yanaumiza zaidi.
 
Hakika Mungu wangu ni Mwema sana,Wema wake kwetu wanadamu hauna kifani,sina budi kusema Asante Mungu kwa kunifikisha tarehe ya leo;barikiwa sana mtoa mada.
 
Dhambi yangu kubwa 2015... nimelamba mke wa mtu bahati mbaya bila kujua kama ni mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom