Dhahabu yetu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhahabu yetu Tanzania

Discussion in 'Major Projects in Tanzania' started by Mwanaukweli, Jun 19, 2012.

 1. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapa kuna takwimu za uzalishaji wa dhahabu Tanzania kwa miaka 11 iliyopita.

  [TABLE="class: grid, width: 500"]
  [TR]
  [TD]Mwaka[/TD]
  [TD] Kilo[/TD]
  [TD] Ounce[/TD]
  [TD]Average price
  $/ounce[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2001[/TD]
  [TD] 30,090[/TD]
  [TD] 962,880[/TD]
  [TD] 271.04[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2002[/TD]
  [TD] 43,320[/TD]
  [TD] 1,386,240[/TD]
  [TD] 309.73[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2003[/TD]
  [TD] 48,018[/TD]
  [TD] 1,536,576[/TD]
  [TD] 363.38[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2004[/TD]
  [TD] 48,178[/TD]
  [TD] 1,541,696[/TD]
  [TD] 409.72[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2005[/TD]
  [TD] 52,276[/TD]
  [TD] 1,672,832[/TD]
  [TD] 444.74[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2006[/TD]
  [TD] 47,000[/TD]
  [TD] 1,504,000[/TD]
  [TD] 603.46[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2007[/TD]
  [TD] 40,193[/TD]
  [TD] 1,286,176[/TD]
  [TD] 696.39[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2008[/TD]
  [TD] 36,434[/TD]
  [TD] 1,165,888[/TD]
  [TD] 871.96[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2009[/TD]
  [TD] 40,000[/TD]
  [TD] 1,280,000[/TD]
  [TD] 972.35[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2010[/TD]
  [TD] 35,600[/TD]
  [TD] 1,139,200[/TD]
  [TD] 1224.54[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2011[/TD]
  [TD] 40,400[/TD]
  [TD] 1,292,800[/TD]
  [TD] 1571.52[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Bei ya dhahabu inazidi kupanda. Ilifikia kiwango cha juu $1781 tarehe 28 Februari, na hivi sasa ni around $1600.

  laiti Taifa lingefaidika kikamilifu na dhahabu hii!


  Iwapo wakati wanafanya appraisal ya kuanzisha miradi bei ya dhahabu ilikuwa chini hivyo, na bado wakafanya projection ya faida wakaona inalipa, kisha bei inapanda kiasi kikubwa hivi Makampuni hayo yanafaidi kweli.
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwa kiasi kilichozalishwa mwaka jana, hata ukisema kuwa gharama ya uzalishaji kwa ounce ni $500, bado mapato ya madini ni zaidi ya $1.2 billion!

  Kama makampuni hayo yangekuwa yanalipa kodi 30% pato la TRA kutokana na hayo madini lingekuwa $360 millioni, sawa ma Shilingi billioni 576!

  Lakini katika walipa kodi wakubwa makampuni ya madini hayamo (isipokuwa Resolute tu)!!!!

   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,915
  Trophy Points: 280
  hapo nimeona tu Resolute ule mgodi wa nzega ambao ndo wanataka kuufunga (wengine wanasema wanawauzia barrick sijui), ila pale yamebaki mashimo tu gold imeisha....sijasikia barrick wanatoa kiasi gani,...kuna ndege kila wiki inatoa gold toka barrick kule kahama bunzwagi, bulyanhulu na Tulawaka...lakini kwa migodi yao yote hii ukiongeza na nyamongo, ndo kusema hawatoi kodi? sasa hawa watu wa nini?>si bora wasingekuwepo?
   
 4. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,054
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Bia! Ndiyo maana watu wakawa mazuzu!
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kumbe mabenki yanalipa kodi kubwa na kampuni za bia kuliko hiyo migodi?

  Bora wananchi waachiwe wakachimbe na masururu
   
Loading...